Kibretoni
Mandhari
Kibretoni (kwa lugha hiyo: Brezhoneg) ni kati ya lugha za Kiselti, tawi la lugha za Kihindi-Kiulaya ambalo limerudi nyuma sana tangu zamani za Roma ya Kale lilipokuwa linatumika katika eneo kubwa sana la Ulaya hadi Uturuki wa leo.
Kibretoni pia ni hai bado, lakini katika hatari ya kutoweka.
Wanaoijua ni watu 226,000 hivi, hasa katika rasi ya Bretagne, kaskazini magharibi wa Ufaransa.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
The Wikibook Brezhoneg has a page on the topic of |
- Ofis Publik ar Brezhoneg official website.
- France 3 breizh, ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-08-28, iliwekwa mnamo 2019-10-05
{{citation}}
: Unknown parameter|dead-url=
ignored (|url-status=
suggested) (help), the public Breton TV channel. - Endangered, Breizh net: an essay about the situation of the Breton language.
- 100 Breton Internet-related words, Breizh, ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-12-12, iliwekwa mnamo 2019-10-05
{{citation}}
: Unknown parameter|dead-url=
ignored (|url-status=
suggested) (help) - Amsez Wask Breizh, Agence bretagne presse: news in Breton.
- Breizh, ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (blog) mnamo 2011-06-12, iliwekwa mnamo 2006-07-07: Brittany information, articles about Breton.
- A Taste of Breton Verse, Summerlands.
- Breton, Omniglot.
Kamusu
[hariri | hariri chanzo]- English online dictionary and grammar for Breton
- A multilingual dictionary containing many Breton words alongside those of other languages Archived 7 Februari 2021 at the Wayback Machine.
Kujifunza
[hariri | hariri chanzo]- Breton site including online lessons
- Audio CD, workbooks, software in English to learn Breton
- Breton site with learners' forum and lessons (mostly in French with some English)
- Jouitteau, M. Grammaire du breton, (extensive Breton grammar in French, with glossed examples and typological comparisons), IKER, CNRS, 2009 > 2017].
Biblia
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibretoni kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |