[go: up one dir, main page]

Nenda kwa yaliyomo

Kibretoni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 16:54, 28 Mei 2024 na InternetArchiveBot (majadiliano | michango) (Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.9.5)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)
Ramani inayonyesha lugha za Kiselti zinapotumika hadi leo au zilipotumika katika karne za mwisho:      Ireland (Kieire)      Scotland (Kiskoti)      Isle of Man (Kimanksi)      Wales (Kiwelisi)      Cornwall (Kikornishi)      Brittany (Kibretoni)

Kibretoni (kwa lugha hiyo: Brezhoneg) ni kati ya lugha za Kiselti, tawi la lugha za Kihindi-Kiulaya ambalo limerudi nyuma sana tangu zamani za Roma ya Kale lilipokuwa linatumika katika eneo kubwa sana la Ulaya hadi Uturuki wa leo.

Kibretoni pia ni hai bado, lakini katika hatari ya kutoweka.

Wanaoijua ni watu 226,000 hivi, hasa katika rasi ya Bretagne, kaskazini magharibi wa Ufaransa.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Wikipedia
Wikipedia
Kibretoni ni toleo la Wikipedia, kamusi elezo huru
Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:
  • Ofis Publik ar Brezhoneg official website.
  • France 3 breizh, ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-08-28, iliwekwa mnamo 2019-10-05 {{citation}}: Unknown parameter |dead-url= ignored (|url-status= suggested) (help), the public Breton TV channel.
  • Endangered, Breizh net: an essay about the situation of the Breton language.
  • 100 Breton Internet-related words, Breizh, ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-12-12, iliwekwa mnamo 2019-10-05 {{citation}}: Unknown parameter |dead-url= ignored (|url-status= suggested) (help)
  • Amsez Wask Breizh, Agence bretagne presse: news in Breton.
  • Breizh, ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (blog) mnamo 2011-06-12, iliwekwa mnamo 2006-07-07: Brittany information, articles about Breton.
  • A Taste of Breton Verse, Summerlands.
  • Breton, Omniglot.

Kujifunza

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibretoni kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.