[go: up one dir, main page]

Nenda kwa yaliyomo

Elisiv wa Kiev

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Elisiv wa Kiev

Elisiv wa Kiev (kwa Kinorwei: Elisif au Elisivi; kwa Kirusi: Елизавета Ярославна; kwa Kiukraine: Єлизавета Ярославна; 1025 - 1067 hivi) alikuwa malkia wa Norwei kwa kuolewa na mfalme Harald III wa Norwei.[1]

  1. "Ellisiv – norsk dronning (Per Sveaas Andersen. Store norske leksikon)". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-10-19. Iliwekwa mnamo 2015-01-18.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Elisiv wa Kiev kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.