2 Januari
Mandhari
Des - Januari - Feb | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 2 Januari ni siku ya pili ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 363 (364 katika miaka mirefu).
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 1492 - Mfalme Boabdil wa Granada anasalimisha mji wake kwa wafalme wa Hispania - mwisho wa utawala wa Kiislamu katika rasi ya Hispania
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 869 - Yozei, mfalme mkuu wa Japani (884-887)
- 1837 - Mily Balakirev, mtunzi wa muziki kutoka Urusi
- 1909 - Barry Goldwater, mwanasiasa kutoka Marekani
- 1967 - Tia Carrere, mwigizaji wa filamu kutoka Hawaii
- 1988 - Ruth Bosibori, mwanariadha kutoka Kenya
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 457 - Markian, Kaizari wa Dola la Roma Mashariki (450-457)
- 1833 - Mtakatifu Serafino wa Sarov, mmonaki padri kutoka Urusi
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]- Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu ya watakatifu Basili Mkuu na Gregori wa Nazienzi, lakini pia za watakatifu Papa Telesforo, Arjeo, Narsisi na Marselino, Teodoro wa Marseille, Bladolfo, Yohane Bono, Visensiani, Mainchin, Adalardo wa Corbie, Airaldo, Silvesta wa Troina n.k.
- Waorthodoksi wanaadhimisha sikukuu ya mtakatifu Serafino wa Sarov
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 2 Januari kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |