22 Agosti
tarehe
Jul - Agosti - Sep | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 22 Agosti ni siku ya 234 ya mwaka (ya 235 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 131.
Matukio
hariri- 1864 - Nchi 12 zinakubali Mapatano ya Geneva zikihamasishwa na Henri Dunant, mwanzilishaji wa Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu
Waliozaliwa
hariri- 1760 - Papa Leo XII
- 1924 - James Kirkwood, mwandishi Mmarekani, na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1976
- 1935 - Annie Proulx, mwandishi kutoka Marekani
- 1966 - Paul Ereng, mwanariadha wa Olimpiki kutoka Kenya
- 1966 - GZA, mwanamuziki kutoka Marekani
- 1975 - Rodrigo Santoro, mwigizaji filamu kutoka Brazil
- 1985 - Jimmy Needham, mwanamuziki kutoka Marekani
- 1991 - Federiko Macheda, mchezaji mpira kutoka Italia
Waliofariki
hariri- 1155 - Konoe, mfalme mkuu wa Japani (1142-1155)
- 1241 - Papa Gregori IX
- 1280 - Papa Nikolasi III
- 1679 - Mtakatifu Yohane Wall, O.F.M., padri mfiadini nchini Uingereza
- 1679 - Mtakatifu Yohane Kemble, padri mfiadini nchini Uingereza
- 1958 - Roger Martin du Gard, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1937
- 1978 - Jomo Kenyatta, Rais wa kwanza wa Kenya (1964-1978)
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Bikira Maria Malkia, Sinforiani wa Autun, Timotheo wa Roma, Filipo Benizi, Yohane Wall, Yohane Kemble n.k.
Viungo vya nje
hariri- BBC: On This Day
- On This Day in Canada Archived 2012-12-10 at Archive.today
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 22 Agosti kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |