1935
mwaka
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 19 |
Karne ya 20
| Karne ya 21
◄ |
Miaka ya 1900 |
Miaka ya 1910 |
Miaka ya 1920 |
Miaka ya 1930
| Miaka ya 1940
| Miaka ya 1950
| Miaka ya 1960
| ►
◄◄ |
◄ |
1931 |
1932 |
1933 |
1934 |
1935
| 1936
| 1937
| 1938
| 1939
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1935 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
haririWaliozaliwa
haririKalenda ya Gregori | 2024 MMXXIV |
Kalenda ya Kiyahudi | 5784 – 5785 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2777 |
Kalenda ya Ethiopia | 2016 – 2017 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1473 ԹՎ ՌՆՀԳ |
Kalenda ya Kiislamu | 1446 – 1447 |
Kalenda ya Kiajemi | 1402 – 1403 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2079 – 2080 |
- Shaka Samvat | 1946 – 1947 |
- Kali Yuga | 5125 – 5126 |
Kalenda ya Kichina | 4720 – 4721 癸卯 – 甲辰 |
- 8 Januari - Elvis Presley, mwimbaji kutoka Marekani
- 31 Januari - Kenzaburo Oe, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1994
- 16 Machi - Juca de Oliveira, mwigizaji wa filamu kutoka Brazil
- 29 Mei - André Brink, mwandishi kutoka Afrika Kusini
- 2 Juni - Carol Shields, mwandishi kutoka Marekani
- 9 Juni - Pius Msekwa, mwanasiasa kutoka Tanzania
- 12 Julai - Satoshi Omura, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2015
- 14 Julai - Ei-ichi Negishi, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2010
- 17 Julai - Donald Sutherland, mwigizaji filamu kutoka Kanada
- 22 Agosti - Annie Proulx, mwandishi kutoka Marekani
- 25 Agosti - Charles Wright, mshairi kutoka Marekani
- 10 Septemba - Mary Oliver, mshairi kutoka Marekani
- 19 Novemba - Cosmas Desmond, mwandishi wa Afrika Kusini
- 10 Desemba - Emmanuel Mapunda, askofu Mkatoliki nchini Tanzania
- 30 Desemba - Omar Bongo, Rais wa Gabon
bila tarehe
- Gianni Garko, mwigizaji filamu kutoka Yugoslavia
Waliofariki
hariri- 12 Machi – Michael Pupin, mwanahistoria wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1924
- 16 Machi - John Macleod, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1923
- 6 Aprili - Edwin Arlington Robinson, mshairi kutoka Marekani
- 21 Mei - Jane Addams, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1931
- 13 Septemba - Arthur Henderson, mwanasiasa Mwingereza na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1934
- 4 Novemba - Charles Richet, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1913
- 25 Novemba - Iyasu V, Mfalme Mkuu wa Ethiopia
- 13 Desemba - Victor Grignard, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1912
Wikimedia Commons ina media kuhusu: