[go: up one dir, main page]

Nenda kwa yaliyomo

mrija

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili

[hariri]

Nomino

[hariri]

mrija (wingi mirija)

  1. chombo kilicho na wembamba na uwazi ndani wa kupitisha vitu au kinatumiwa kutengenezea filimbi

Tafsiri

[hariri]