[go: up one dir, main page]

Nenda kwa yaliyomo

mpira

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili

[hariri]
mpira wa kikapu

Nomino

[hariri]

mpira (mipira)

  1. kitu mviringo ambacho hutengenezwa kwa ngozi au karatasi na hutumika kwa michezo mbalimbali kama kandanda

Tafsiri

[hariri]