[go: up one dir, main page]

Nenda kwa yaliyomo

UK Singles Chart

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Westlife

UK Singles Chart ni chati inayotolewa na The Official UK Charts Company (OCC) kwa niaba ya soko la rekodi za Kiingereza. Chati huendeshwa katika wiki huanza Jumapili hadi Jumamosi, pamoja na chati zilizochapishwa kwenye jarida la muziki la Music Week (75 Bora tu), ChartsPlus (200 Bora), na kuchapishwa tena mtandaoni kwenye matovuti mbalimbali (hasa zile za 40 Bora tu, basi). Takriban 6,500 mauzo ya rejareja ya UK hutoa ripoti ya mauzo, vilevile na yale maduka ya mtandaoni ya UK pia hutoa ripoti hizo. Hii iko tofauti kidogo na Marekani, hazitumiki takwimu za kupigwa sana maredioni na kwenye TV kuwa kama tumio rasmi la kuanisha nani mkali wa UK Singles Chart. Mara nyingi single za UK hutolewa madukani katika siku ya Jumatatu.

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu UK Singles Chart kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.