Tragelaphus
Mandhari
Kwa matumizi tofauti ya jina hili angalia hapa Tandala (Makete)
Tandala | ||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Dume la tandala mkubwa
(Tragelaphus strepsiceros) | ||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||
| ||||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||||
Spishi 8:
|
Tragelaphus ni jenasi ya wanyama katika familia Bovidae. Spishi za Tragelaphus huitwa tandala, bongo, kulungu, malu, nyala au nzohe.
Wanatokea Afrika katika maeneo yenye miti kutoka nyika hadi msitu.
Wana milia na madoa meupe juu ya rangi ya kahawa au kijivu. Dume ni mkubwa kuliko jike na ana pembe ndefu zilizopotolewa. Jike hana pembe.
Wanyama hao hula majani, manyasi, matunda na viazi vya gugu.
Spishi
[hariri | hariri chanzo]- Tragelaphus angasii, Nyala (Nyala)
- Tragelaphus buxtoni, Tandala-milima (Mountain Nyala)
- Tragelaphus eurycerus, Bongo (Bongo)
- Tragelaphus e. eurycerus, Bongo Magharibi (Western bongo or lowland bongo)
- Tragelaphus e. isaaci, Bongo Mashariki au Bongo-milima (Eastern Bongo or mountain bongo)
- Tragelaphus imberbis, Tandala Mdogo (Lesser Kudu)
- Tragelaphus scriptus, Pongo Kaskazi (Northern bushbuck)
- Tragelaphus spekii, Nyala-maji au Nzohe (Sitatunga)
- Tragelaphus s. gratus, Nzohe-misitu (Congo sitatunga or forest sitatunga)
- Tragelaphus s. selousi, Nzohe Kusi (Southern sitatunga or Zambezi sitatunga)
- Tragelaphus s. spekii, Nzohe Mashariki (Nile sitatunga or East African sitatunga)
- Tragelaphus strepsiceros, Tandala Mkubwa au Malu (Greater Kudu)
- Tragelaphus s. chora, Tandala Mkubwa Kusi (Greater Kudu)
- Tragelaphus s. cottoni, Tandala Mkubwa wa Chadi (Greater Kudu)
- Tragelaphus s. strepsiceros, Tandala Mkubwa Kaskazi (Greater Kudu)
- Tragelaphus sylvaticus, Kulungu, Mbawala au Pongo Kusi (Southern bushbuck)
Picha
[hariri | hariri chanzo]-
Dume la nyala
-
Jike la nyala
-
Dume la bongo
-
Dume la tandala mdogo
-
Jike la tandala mdogo
-
Dume la nzohe
-
Jike la nzohe
-
Jike la tandala mkubwa
-
Kulungu
-
Mbawala
Ili kupata maelezo kuhusu masanduku ya uanapwa ya spishi angalia: Wikipedia:WikiProject Mammals/Article templates/doc.
Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Tragelaphus kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |