Tipasa
Mandhari
Tipasa (wakati mwingine hujulikana kama Tipasa ya Mauretania) ilikuwa koloni katika mkoa wa Kirumi wa Mauretania Caesariensis, siku hizi iko katika pwani ya kati ya Algeria.
Tangu mwaka 2002, imetangazwa na UNESCO kama Urithi wa Dunia.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Tipasa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |