Serro (mwanamuziki)
Mandhari
Hulda Adhiambo almaarufu kama Serro, ni mtunzi wa nyimbo na mwimbaji wa muziki wa afro-pop pamoja na muziki wa jazz nchini Kenya. Anajulikana kwa nyimbo zake kama vile "Rongai" na "Kasyoki Wa Mitumba".[1][2][3]
Elimu
[hariri | hariri chanzo]Serro alisomea muziki katika Chuo cha Sauti (Sauti Academy) na katika Chuo Kikuu cha Kenyatta na kufaulu kwa Shahada ya Kwanza ya Heshima katika Muziki.[4]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Rising from ground zero: ‘Kasyoki wa Mitumba’ star, Serro, speaks". Retrieved on 9 May 2020. Archived from the original on 2019-12-31.
- ↑ KAREN MURIUKI. "ONE ON ONE: Hulda Adhiambo Serro". Daily Nation. Iliwekwa mnamo 9 Mei 2020.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ ABIGAIL ARUNGA. "Take 5: Hulda Adhiambo Serro". Daily Nation. Iliwekwa mnamo 9 Mei 2020.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Meet Hulda Serro – Afrosoul artiste with unique voice, uses Sheng". People Daily Online. Iliwekwa mnamo 9 Mei 2020.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Serro (mwanamuziki) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |