[go: up one dir, main page]

Nenda kwa yaliyomo

Sabini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sabini (kutoka neno la Kiarabu سبعون) ni namba inayoandikwa 70 kwa tarakimu za kawaida na LXX kwa zile za Kirumi.

Ni namba asilia inayofuata 69 na kutangulia 71.

Vigawo vyake vya namba tasa ni: 2 x 5 x 7.

Matumizi

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sabini kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.