Rafael Correa
Mandhari
Rafael Vicente Correa | |
Muda wa Utawala Januari 15, 2007 – Mei 24, 2017 | |
mtangulizi | Alfredo Palacio |
aliyemfuata | Lenín Moreno |
tarehe ya kuzaliwa | Aprili 6 1963 Guayaquil |
utaifa | Ecuadorian |
chama | PAIS Alliance |
ndoa | Anne Malherbe Gosseline |
dini | Ukristo |
signature |
Rafael Vicente Correa Delgado (alizaliwa 6 Aprili 1963) ni mwanasiasa nchini Ekuador na tangu Januari 2007 hadi 2017 alikuwa rais wa nchi hiyo.
Ni Mkristo wa Kanisa Katoliki, humanist na mchumi. Alipata elimu yake katika vyuo vikuu vya Ekuador, Ubelgiji na Marekani. Yeye anasema Kihispania, Kiingereza, Kiquechua na Kifaransa.
Familia
[hariri | hariri chanzo]Correa alimwoa Anne Malherbe. Wana mabinti wawili, Sofía Correa Malherbe na Anne Dominique Correa Malherbe, na mwana wa kiume Rafael Miguel Correa Malherbe.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Rafael Correa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |