Papa Soter
Mandhari
Papa Soter alikuwa Papa kuanzia takriban mwaka 162/168 akaendelea hadi kifo chake mwaka 170/177)[1][2]. Alitokea Fondi, Italia[3].
Alimfuata Papa Anicetus akafuatwa na Papa Eleutero.
Katika barua iliyotufikia, Denis wa Korintho alimsifu kwa ukarimu wake mkubwa kwa Wakristo waliofukuzwa au kupelekwa migodini kufanya kazi ya shokoa[4].
Soter anatajwa kwa kutamka kuwa ndoa ya Kikristo ni halisi ikiwa tu sakramenti iliyobarikiwa na padri na kwa kuanzisha Pasaka kama sherehe ya kila mwaka mjini Roma.[5]
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 22 Aprili[6].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
- Orodha ya Mapapa
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ https://www.vatican.va/content/vatican/en/holy-father.index.html#holy-father
- ↑ Annuario Pontificio 2012 (Libreria Editrice Vaticana, ISBN 978-88-209-8722-0), p. 8*
- ↑ "Biography: Pope Soter". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2006-10-09. Iliwekwa mnamo 2022-03-21.
- ↑ Martyrologium Romanum (Libreria Editrice Vaticana 2001 ISBN|88-209-7210-7)
- ↑ Pope Saint Soter » Saints.SQPN.com
- ↑ Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Soter kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |