[go: up one dir, main page]

Nenda kwa yaliyomo

Namba hasi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kipimajoto kikionyesha joto hasi la Selsiasi (−7°C).

Namba hasi katika hisabati ni namba halisi ambayo ni pungufu ya namba 0.

Namba hasi huwakilisha kinyume. Kama namba chanya inawakilisha elekea kulia, namba hasi inamaanisha elekea kushoto. Kama namba chanya inawakilisha juu ya usawa wa bahari, basi namba hasi inawakilisha chini ya usawa wa bahari. Kama namba chanya inawakilisha kuweka, namba hasi inawakilisha kutoa.

Mara nyingi huwakilisha ukubwa wa deni au upungufu.

Skeli ya namba hasi (nyekundu) na namba chanya (buluu).
Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Namba hasi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.