Mkoa wa Nyanga
Mandhari
Makala hii, au sehemu za makala hii, inahitaji vyanzo au marejeo yoyote. Tafadhali saidia kuboresha makala hii kwa kuweka vyanzo vya kuaminika. Habari zisizowekewa vyanzo zinaweza kuwekewa alama na kuondolewa. (Desemba 2009) |
Nyanga ni moja kati ya mikoa tisa ya Gabon. Mji mkuu wa mkoa huu ni Tchibanga, ambao una wakazi takriban 14,500 kwa mwaka wa 2004 (kidogo ni zaidi ya theluthi moja ya jumla la wakazi wa mkoani hapa). Nyanga ni mkoa uliopo kusini sana mwa Gabon na pia ni mkubwa, una wakazi wachache na una maendeleo machache vilevile katika mikoa yote tisa ya nchini Gabon. Mkoa umepakana na Ogooué-Maritime kwa upande wa kaskazini-magharibi, Ngounié kwa upande wa kaskazini, na Kongo kwa upande wa kusini (Mkoa wa Kouilou) na kwa upande wa mashariki ni (Mkoa wa Niari).
Departments
[hariri | hariri chanzo]Nyanga imegawanyika katik departments 4:
Makala hii kuhusu maeneo ya Gabon bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkoa wa Nyanga kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |