Las Palmas de Gran Canaria
Mandhari
Jiji la Las Palmas de Gran Canaria | |
Nchi | Hispania |
---|---|
Communidad autónoma | Visiwa vya Kanari |
Provincia | Gran Canaria |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 376 953 |
Las Palmas de Gran Canaria (kifupi: Las Palmas) ni mji wa Hispania katika kaskazini-mashariki ya kisiwa cha Gran Canaria mwenye wakazi 376,953 (2004). Las Palmas ni makao makuu ya utawala wa kisiwa cha Gran Canaria na moja kati ya miji mikuu miwili ya funguvisiwa ya Visiwa vya Kanari inayojitawala ndani ya Hispania. Visiwa vya Kanari vimo katika sehemu ya Kiafrika ya Atlantiki. Tangu 1982 ni mji mkuu pamoja na Santa Cruz de Tenerife. Kila baada ya miaka minne mmoja kati ya miji hii miwili una nafasi ya kuwa mji mkuu.
Makala hii kuhusu maeneo ya Hispania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Las Palmas de Gran Canaria kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Las Palmas de Gran Canaria kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |