[go: up one dir, main page]

Nenda kwa yaliyomo

Korsou

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ramani ya Curaçao
Handelskade in Willemstad, Curaçao

Korsou au Curaçao ni nchi ya visiwani karibu na pwani ya Venezuela (Amerika Kusini).

Tangu mwaka 1634 ilikuwa koloni la Uholanzi; sasa ni "nchi ya kujitawala" ndani ya muundo wa "Ufalme wa Nchi za Chini" pamoja na Uholanzi yenyewe na nchi nyingine mbili za Karibi zilizokuwa makoloni ya Uholanzi (Aruba na Sint Maarten).

Katika eneo la kilometa mraba 444 wanaishi watu 160,012 (2018).

Wengi wao wanatokana hasa na watumwa kutoka Afrika, lakini wana mchanganyiko mkubwa wa damu.

Lugha yao ya kawaida ni Kipapiamentu (81.2%), ambacho ni lugha rasmi pamoja na Kiholanzi na Kiingereza.

Upande wa dini, 72.8% ni Wakatoliki, 16.7% ni Waprotestanti.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  • Curaçao general information Archived 12 Februari 2015 at the Wayback Machine.
  • Curaçao entry at The World Factbook
  • Gobiernu.cw Official website of the government of Curaçao
  • Curaçao Tourism Board
  • Directory and information guide for Curaçao Archived 1 Septemba 2013 at the Wayback Machine.
  • First Millenium Development Goals and Report. Curaçao and Sint Maarten. 2011 Archived 13 Julai 2014 at the Wayback Machine.
  • Halman, Johannes and Robert Rojer (2008). Jan Gerard Palm Music Scores: Waltzes, Mazurkas, Danzas, Tumbas, Polkas, Marches, Fantasies, Serenades, a Galop and Music Composed for Services in the Synagogue and the Lodge. Amsterdam: Broekmans en Van Poppel. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-12-26. Iliwekwa mnamo 2015-02-22.
  • Halman, Johannes I.M. and Rojer, Robert A. (2008). Jan Gerard Palm: Life and Work of a Musical Patriarch in Curaçao (In Dutch language). Leiden: KITLV. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-09-25. Iliwekwa mnamo 2015-02-22.{{cite book}}: CS1 maint: multiple names: authors list (link)
  • Palm, Edgar (1978). Muziek en musici van de Nederlandse Antillen. Curaçao: E. Palm.
  • Boskaljon, Rudolph (1958). Honderd jaar muziekleven op Curaçao. Anjerpublicaties 3. Assen: Uitg. in samenwerking met het Prins Bernhard fonds Nederlandse Antillen door Van Gorcum.
Makala hii kuhusu maeneo ya Bahari ya Karibi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Korsou kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.