[go: up one dir, main page]

Nenda kwa yaliyomo

Kidaju, Dar Daju

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kidaju, Dar Daju ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Chad inayozungumzwa na Wadaju. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kidaju imehesabiwa kuwa watu 34,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidaju iko katika kundi la Kisudani-Mashariki.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidaju, Dar Daju kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.