Ukanda wa Mediteranea
Mandhari
(Elekezwa kutoka Kanda ya Mediterranea)
Ukanda wa Mediteranea (Kituruki:Akdeniz Bölgesi) ni moja kati ya kanda 7 za Uturuki ambazo zimetengwa kwa ajili ya kuhesabia sensa ya wakazi.
Mikoa
[hariri | hariri chanzo]- Mkoa wa Adana
- Mkoa wa Antalya
- Mkoa wa Burdur
- Mkoa wa Hatay
- Mkoa wa Isparta
- Mkoa wa Kahramanmaraş
- Mkoa wa Mersin
- Mkoa wa Osmaniye
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Ukanda wa Mediteranea kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |