Gome
Mandhari
Gome (kwa Kiingereza: bark) ni gamba la mti: gamba hilo ni kama nguo ya mti inayolinda uhai wake unaotegemea utomvu unaopanda kutoka mizizini kwenda matawini.
Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Gome kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |