Georges Charpak
Mandhari
Georges Charpak (1 Agosti 1924 - 29 Septemba 2010) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Poland. Baadaye, alihamia na kufanya kazi Ufaransa. Hasa alibuni vifaa kwa ajili ya kugundua na kuchunguza sehemu za atomu. Mwaka wa 1992 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Georges Charpak kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |