[go: up one dir, main page]

Nenda kwa yaliyomo

Fangataufa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kisiwa cha Fangataufa

Fangataufa ni kisiwa cha Polinesia ya Kifaransa ndani ya funguvisiwa ya Tuamotu. Kiko upande wa kusini-mashariki wa kisiwa cha Moruroa. Eneo la kisiwa ni 5 km². Wakati wa sensa mwaka wa 2012, hakuna watu wakaao kisiwani kwa Fangataufa, sababu yake kwamba kati ya 1966 na 1996, Wafaransa walitumia kisiwa cha Fangataufa kama mahali pa jaribio kwa bomu la nyuklia.

Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.