[go: up one dir, main page]

Nenda kwa yaliyomo

Calicut

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kitovu cha mji.
Kozhikode / Calicut mnamo 1572.

Kozhikode (pia Calicut) ni mji wa Jimbo la Kerala katika kusini ya Uhindi. Kozhikode ni mji mkubwa wa tatu wa Kerala. Rundiko la Jiji lina wakazi 2,030,519 (sensa 2011).[1]

Mji uko takribani km 380 upande wa kaskazini wa mji mkuu wa Kerala, Thiruvananthapuram.

Mji una bandari asilia iliyokuwa tangu karne nyingi kimoja cha vitovu vya biashara ya viungo na nchi za nje. Hivyo Calicut ilikuwa bandari ya kwanza iliyyofikiwa na Wareno baada ya Vasco da Gama kuzunguka Afrika mnamo 1498.

  1. "Alphabetical List of Towns and Their Population" (PDF). Census of India 2001. Iliwekwa mnamo 15 Februari 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu maeneo ya Uhindi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Calicut kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.