[go: up one dir, main page]

Nenda kwa yaliyomo

Aspirini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Aspirini, pia inajulikana kama asidi asetilsalisiliki (acetylsalicylic acid), ni dawa inayopunguza maumivu ya kuzuia mwasho (nonsteroidal anti-inflammatory) inayotumika kupunguza maumivu, homa, na/au kuvimba, na kama antithrombotic.

Hali mahususi za mwasho ambazo aspirini hutumiwa kutibu ni pamoja na ugonjwa wa Kawasaki, perikaditisi (pericarditis), na homa ya maambukizi ya kooni ambayo haya kutibiwa vyema.

Makala hii kuhusu mambo ya tiba bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Aspirini kama sababu yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.