1981
Mandhari
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 19 |
Karne ya 20
| Karne ya 21
◄ |
Miaka ya 1950 |
Miaka ya 1960 |
Miaka ya 1970 |
Miaka ya 1980
| Miaka ya 1990
| Miaka ya 2000
| Miaka ya 2010
◄◄ |
◄ |
1977 |
1978 |
1979 |
1980 |
1981
| 1982
| 1983
| 1984
| 1985
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1981 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 21 Septemba - Nchi ya Belize inapata uhuru kutoka Uingereza.
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]Kalenda ya Gregori | 2024 MMXXIV |
Kalenda ya Kiyahudi | 5784 – 5785 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2777 |
Kalenda ya Ethiopia | 2016 – 2017 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1473 ԹՎ ՌՆՀԳ |
Kalenda ya Kiislamu | 1446 – 1447 |
Kalenda ya Kiajemi | 1402 – 1403 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2079 – 2080 |
- Shaka Samvat | 1946 – 1947 |
- Kali Yuga | 5125 – 5126 |
Kalenda ya Kichina | 4720 – 4721 癸卯 – 甲辰 |
- 31 Januari - Justin Timberlake, mwanamuziki kutoka Marekani
- 1 Machi - Párvusz, msanii na mchoraji kutoka Hungaria
- 1 Aprili - Dan Mintz, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 15 Mei - Patrice Evra, mchezaji mpira wa Ufaransa
- 18 Mei - George Miok, mwanajeshi wa Kanada
- 20 Mei - Amina Chifupa, mwanasiasa wa Tanzania
- 5 Julai - Ambwene Yessayah, mwanamuziki kutoka Tanzania
- 29 Julai - Fernando Alonso, dereva wa Formula One kutoka Hispania
- 8 Agosti - Roger Federer, mchezaji tenisi kutoka Uswisi
- 14 Agosti - Ray William Johnson, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 19 Agosti - Yvonne Cherrie, mwigizaji wa filamu kutoka Tanzania
- 4 Septemba - Beyoncé, mwimbaji kutoka Marekani
- 14 Septemba - Patrick Garcia, mwigizaji filamu kutoka Ufilipino
- 26 Septemba - Christina Milian, mwanamuziki wa Marekani
- 30 Oktoba - Muna Lee, mwanariadha wa Olimpiki kutoka Marekani
- 1 Desemba - Khamis Mussa, mwigizaji na mwanamuziki kutoka Tanzania
- 2 Desemba - Britney Spears, mwanamuziki na mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 3 Desemba - David Villa, mchezaji mpira wa Hispania
- 11 Desemba - Mohamed Zidan, mchezaji mpira kutoka Misri
bila tarehe
- Nonini (au Hubert Nakitare), mwanamuziki kutoka Kenya
- Khalid Mohamed, mwanamuziki wa Bongo Flava kutoka Tanzania
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 5 Januari - Harold Urey, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1934
- 11 Februari - Ketti Frings, mwandishi kutoka Marekani
- 9 Machi - Max Delbruck, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1969
- 4 Mei - Paul Green, mwandishi wa tamthiliya kutoka Marekani
- 11 Mei - Odd Hassel, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1969
- 11 Mei - Bob Marley, mwanamuziki kutoka Jamaika
- 18 Mei - William Saroyan, mwandishi Mmarekani (na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1940, aliyoikataa)
- 8 Septemba - Hideki Yukawa, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1949
- 12 Septemba - Eugenio Montale, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1975
- 6 Oktoba - Anwar Sadat, rais wa Misri, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka 1971
- 20 Oktoba - Mary Chase, mwandishi kutoka Marekani
- 22 Novemba - Hans Krebs, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1953
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu: