[go: up one dir, main page]

Nenda kwa yaliyomo

Suzanne Bachelard

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 10:16, 29 Februari 2012 na Maria alphonce (majadiliano | michango) (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Suzanne Bachelard''' alizaliwa tarehe (Octorber 18, 1919 - November 3, 2007 katika jiji la Paris) alikua ni mwanafilosofia na mwanataaluma wa Ufaransa.<re...')
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)

Suzanne Bachelard alizaliwa tarehe (Octorber 18, 1919 - November 3, 2007 katika jiji la Paris) alikua ni mwanafilosofia na mwanataaluma wa Ufaransa.[1] Mwaka 1958, alichapisha kitabu kilichofahamika kwa jina la La Conscience de la rationalité. Na pia alikua ni mtoto wa Mwanafilosofi aliyefamika kwa jina la Gaston Bachelard, ambaye alimhariria kitabu cha Fragments d'une Poétique du Feu.[onesha uthibitisho] na pia alifundisha katika shule ya Jacques Derrida akiwa kama msaidizi wa baba yake.[2]

Tazama pia

Notes

  1. Biographical Dictionary of Twentieth-Century Philosophers. London: Routledge. 1996. uk. 42. ISBN 0415060435.
  2. Bennington (1991) p.330

Marejeo


Kigezo:Philosopher-stub