Mkoa wa Sankuru
jimbo la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Mkoa wa Sankuru ni moja ya mikoa 26 ya kujitawala ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Idadi ya wakazi wake ni takriban 1,500,000. Mji wake mkuu ni Lodja.
Mkoa wa Sankuru Sankuru |
|
Mahali pa Mkoa wa Sankuru katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo | |
Majiranukta: 4°58′S 23°26′E / 4.967°S 23.433°E | |
Nchi | Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo |
---|---|
Wilaya | 6 |
Mji mkuu | Lodja |
Serikali | |
- Gouverneur | |
Eneo | |
- Jumla | 104,331 km² |
Idadi ya wakazi (1998) | |
- Wakazi kwa ujumla | 1,500,000 |
Picha za Sankuru
hariri-
Kole
Équateur | Ituri | Kasai | Kasai Mashariki | Katanga Juu | Kinshasa | Kivu Kaskazini | Kivu Kusini | Kongo Kati | Kwango | Kwilu | Lomami | Lomami Juu | Lualaba | Lulua | Mai-Ndombe | Maniema | Mongala | Sankuru | Tanganyika | Tshopo | Tshuapa | Ubangi Kaskazini | Ubangi Kusini | Wele Chini | Wele Juu | |
+/- |
Makala hii kuhusu maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Sankuru kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |