Mkoa wa Kwango
Mkoa wa Jamhuri ya Kidemokrasia y'a Kongo
Mkoa wa Kwango ni moja ya mikoa 26 ya kujitawala ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Mkoa wa Kwango |
|
Mahali pa Mkoa wa Kwango katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo | |
Nchi | Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo |
---|---|
Mikoa | |
Mji mkuu | Kenge |
Eneo | |
- Jumla | 89,974 km² |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 1,994,036 |
Jina linatokana na mto Kwango unaotumika kama mpaka na Angola.
Idadi ya wakazi wake ni takriban 1,944,036.
Viungo vya nje
hariri
Équateur | Ituri | Kasai | Kasai Mashariki | Katanga Juu | Kinshasa | Kivu Kaskazini | Kivu Kusini | Kongo Kati | Kwango | Kwilu | Lomami | Lomami Juu | Lualaba | Lulua | Mai-Ndombe | Maniema | Mongala | Sankuru | Tanganyika | Tshopo | Tshuapa | Ubangi Kaskazini | Ubangi Kusini | Wele Chini | Wele Juu | |
+/- |
Makala hii kuhusu maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Kwango kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |