Asus
ASUS (kirefu: ASUSTek Computer Inc.) ni kampuni ya vifaa vya kompyuta na umeme.
Ilianzishwa Taipei mwaka 1989 na T.H. Tung, Ted Hsu, Wayne Hsieh na M.T. Liao.
ASUS ni mtengenezaji wa tano mkubwa zaidi duniani kwa mauzo ya mwaka 2013 (baada ya Lenovo, Hewlett-Packard, Dell na Acer).
Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Asus kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |