9 Oktoba
tarehe
Sep - Oktoba - Nov | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 9 Oktoba ni siku ya 282 ya mwaka (ya 283 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 83.
Matukio
haririWaliozaliwa
hariri- 1777 - Mtakatifu Gaspare Bertoni, padri mwanzilishi kutoka Italia
- 1800 - Mtakatifu Justino de Jacobis, C.M., askofu Mkatoliki kutoka Italia, mmisionari nchini Ethiopia
- 1835 - Camille Saint-Saëns, mtunzi wa muziki kutoka Ufaransa
- 1852 - Hermann Emil Fischer, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1902
- 1879 - Max von Laue, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1914
- 1940 - John Lennon, mwanamuziki Mwingereza
- 1959 - Boris Nemtsov, mwanasiasa kutoka Urusi
- 1979 - Lecrae, mwanamuziki kutoka Marekani
Waliofariki
hariri- 1047 - Papa Klementi II
- 1943 - Pieter Zeeman, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1902
- 1958 - Papa Pius XII
- 1967 - Cyril Hinshelwood, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1956
- 1967 - Che Guevara, mwanamapinduzi kutoka Argentina
- 1987 - William Murphy, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1934
- 2006 - Marek Grechuta, mwanamuziki kutoka Poland
- 2014 - Carolyn Kizer, mshairi kutoka Marekani
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Denis na wenzake, Yohane Leonardi, Abrahamu, Diodori, Diomede na Didimo, Donino wa Fidenza, Publia wa Antiokia, Sabino wa Bigorre, Donino wa Città di Castello, Gisleno, Deusdedit wa Montecassino, Guntero, Bernardo wa Rodez, Alois Bertran, John Henry Newman, Inosenti wa Imakulata na wenzake n.k.
Viungo vya nje
hariri- BBC: On This Day Archived 8 Novemba 2006 at the Wayback Machine.
- Today in Canadian History Archived 20 Machi 2021 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 9 Oktoba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |