28 Aprili
tarehe
Mac - Aprili - Mei | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 28 Aprili ni siku ya 118 ya mwaka (ya 119 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 247.
Matukio
haririWaliozaliwa
hariri- 1758 - James Monroe, Rais wa Marekani (1817-1825)
- 1838 - Tobias Asser, mwanasheria Mholanzi, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1911
- 1926 - Harper Lee, mwandishi kutoka Marekani
- 1941 - Barry Sharpless, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2001
- 1947 - William Shija, mwanasiasa kutoka Tanzania
Waliofariki
hariri- 1716 - Mtakatifu Alois Maria wa Montfort, padri wa Kanisa Katoliki kutoka Ufaransa
- 1841 - Mtakatifu Peter Chanel, padri Mkatoliki, mmisionari na mfiadini kutoka Ufaransa
- 1945 - Benito Mussolini, dikteta wa Italia, anauawa na wanamgambo Waitalia Wakomunisti
- 1954 - Leon Jouhaux, kiongozi Mfaransa wa chama cha wafanyakazi, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1951
- 1999 - Arthur Schawlow, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1981
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Alois Maria wa Montfort, Petro Chanel, Afrodisi wa Beziers, Eusebi, Karalampo na wenzao, Vitali, Valeria na wenzao, Masimo, Dada na Kwintiliani, Prudensi wa Tarazona, Panfilo wa Corfinio, Paulo Pham Khac Khoan na wenzake, Yoana Beretta Molla n.k.
Viungo vya nje
hariri- BBC: On This Day
- On This Day in Canada Archived 2012-12-08 at Archive.today
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 28 Aprili kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |