24 Machi
tarehe
Feb - Machi - Apr | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 24 Machi ni siku ya 83 ya mwaka (ya 84 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 282.
Matukio
haririWaliozaliwa
hariri- 1884 - Peter Debye, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1936
- 1903 - Adolf Butenandt, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1939
- 1907 - Janet Bragg, rubani wa kike kutoka Marekani
- 1917 - John Kendrew, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1962
- 1926 - Dario Fo, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1997
- 1930 - Steve McQueen, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1972 - Tony Leondis, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Waliofariki
hariri- 1381 - Mtakatifu Katarina wa Uswidi, abesi wa Wabirgita nchini Uswidi
- 1455 - Papa Nikolasi V
- 1993 – John Hersey, mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer mwaka wa 1945
- 2002 - César Milstein, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1984
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Timolai na wenzake, Sekundulo, Mac Cairthinn wa Clogher, Severo wa Catania, Katarina wa Uswidi, Oscar Romero n.k.
Viungo vya nje
hariri- BBC: On This Day Archived 3 Machi 2007 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 24 Machi kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |