1965
mwaka
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 19 |
Karne ya 20
| Karne ya 21
◄ |
Miaka ya 1930 |
Miaka ya 1940 |
Miaka ya 1950 |
Miaka ya 1960
| Miaka ya 1970
| Miaka ya 1980
| Miaka ya 1990
| ►
◄◄ |
◄ |
1961 |
1962 |
1963 |
1964 |
1965
| 1966
| 1967
| 1968
| 1969
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1965 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
hariri- Aprili - 23 Septemba vita ya pili ya Kashmir kati ya Uhindi na Pakistan iliyoanza na mashambulio ya wanamgambo kutoka Pakistan na kufikia vita ya jeshi za nchi zote mbili kabla ya kuishia bila mabadiliko makubwa ya mipaka.
- 18 Februari - Nchi ya Gambia inapata uhuru kutoka Uingereza.
- 11 Novemba - Nchi ya Rhodesia inapata uhuru kutoka Uingereza.
- 8 Desemba - Mtaguso wa pili wa Vatikano unamalizika.
Waliozaliwa
haririKalenda ya Gregori | 2024 MMXXIV |
Kalenda ya Kiyahudi | 5784 – 5785 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2777 |
Kalenda ya Ethiopia | 2016 – 2017 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1473 ԹՎ ՌՆՀԳ |
Kalenda ya Kiislamu | 1446 – 1447 |
Kalenda ya Kiajemi | 1402 – 1403 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2079 – 2080 |
- Shaka Samvat | 1946 – 1947 |
- Kali Yuga | 5125 – 5126 |
Kalenda ya Kichina | 4720 – 4721 癸卯 – 甲辰 |
- 7 Januari - José Manuel Imbamba, askofu Mkatoliki kutoka Angola
- 8 Januari - Michelle Forbes, mwigizaji filamu kutoka Marekani
- 9 Januari - Christopher Richard Mwashinga, mchungaji, mwandishi na mshairi kutoka Tanzania
- 5 Februari - Gheorghe Hagi, mchezaji wa mpira kutoka Romania
- 16 Februari - Adama Barrow, rais wa Gambia (tangu 2017)
- 17 Februari - Michael Bay, mtayarishaji wa filamu kutoka Marekani
- 18 Februari - Andre Romell Young, mwanamuziki kutoka Marekani
- 25 Februari - Carrot Top, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 26 Aprili - Kevin James, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 6 Mei - Leslie Hope, mwigizaji filamu kutoka Kanada
- 8 Juni - Giovanni Cesare Pagazzi, askofu mkuu Mkatoliki nchini Italia
- 22 Juni - Uwe Boll, mtayarishaji wa filamu kutoka Ujerumani
- 13 Julai - Eric Freeman, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 31 Julai - Pat Finn, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 8 Oktoba - Iddi Mohamed Azzan, mwanasiasa wa Tanzania
bila tarehe
- Christiaan Bakkes, mwandishi kutoka Afrika Kusini
Waliofariki
hariri- 4 Januari - T. S. Eliot, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1948
- 24 Januari - Winston Churchill, Waziri Mkuu wa Uingereza, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1953
- 15 Februari - Nat King Cole, mwanamuziki kutoka Marekani
- 30 Machi - Philip Hench, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1950
- 21 Aprili - Edward Appleton, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1947
- 8 Julai - Thomas Sigismund Stribling, mwandishi kutoka Marekani
- 19 Julai - Ingrid Jonker, mwandishi wa Afrika Kusini
- 27 Agosti - Le Corbusier, msanifu majengo kutoka Ufaransa
- 4 Septemba - Albert Schweitzer, daktari, mwanafalsafa na mmisionari nchini Gabon, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1952
- 8 Septemba - Hermann Staudinger, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1953
- 12 Oktoba - Paul Hermann Müller, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1948
- 18 Novemba - Henry Wallace, Kaimu Rais wa Marekani
- 5 Desemba - Joseph Erlanger, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1944
Viungo vya nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu: