IMMUNIZATION REACH EVERY CHILD/COMMUNITY (REC) PERFORMANCE TRACKING TOOL_ (Health Facility Self Assessment)
Council:_____________________________ Health Facility:___________________________ Year
Write Yes if requirement met or
REC
SN Requirement/Standard Source No if not met for each month
Component
Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec
All vaccines, syringes and diluents were available for use Ledger Yes Yes Yes
HF received vaccines and related supplies at least once per month Ledger No Yes Yes
The refrigerator was functional all the month Temp chart Yes Yes Yes
Planning and Temperature recorded was within recommended ranges - no alarms Temp chart/Device Yes Yes Yes
1 management of Have Functional temperature monitoring devices - Fridge tag/RTM Observe Yes Yes Yes
resources All vaccines were in usable condition (No expires, no frozen or reconstituted vaccines in the
Check vaccines in fridge No Yes Yes
fridge, no vaccine in stage 3 or 4
Immunization/REC micro-plan updated REC Microplan No Yes Yes
Operational funds for immunization activities available HF Financial Report Yes Yes Yes
Annual session plan for outreach/mobile sessions is availabel and updated REC Microplan Yes Yes Yes
At least 95% of planned fixed sessions were conducted (Planned/Conducted)*100 >=95% Session Plan Yes Yes Yes
At least 95% of planned integrated Outreach/mobile sessions were conducted
Session Plan no no yes
Reaching All (Planned/Conducted)*100 >=95%)
2 Eligible Cumulative coverage of Penta1 reached at least 95% Performance charts Yes Yes Yes
Populations Cumulative coverage of MR2 reached at least 95% Performance charts No No No
Cumulative Drop-out rate of Penta1 - MR1 less than 5% Performance charts Yes Yes Yes
Cumulative Drop-out rate of MR1 - MR2 less than 5% Performance charts No No No
Identification, tracking and vaccination of unvaccinated and under-vaccinated children Un and undervaccinated Book No No No
Engaging with Documented meeting at the community level held Quartely Minutes Book/File Yes Yes Yes
3
Communities Documented Immunization agenda and minutes in HFGC quarterly meetings Minutes Book/File Yes Yes Yes
Supportive Received at least one supportive supervision or mentorship visit from CHMT Supervision Book Yes Yes Yes
4 Supervision or Received written feedback of supportive supervision/mentorship visit by CHMT Supervision Book Yes Yes Yes
mentorship Action plan/point for this month worked on Verify No Yes Yes
Immunization registers (MTUHA Na.7) used and updated MTUHA 7 No No yes
Tally sheets used and updated MTUHA 7/IVD Tally Yes Yes Yes
Monitoring and Ledger for all vaccines and related supplies used and updated with forecast Ledger Yes Yes Yes
5 Using Data for Monthly summary forms used and updated Month Reports Yes Yes Yes
Action Immunization performance monitoring chart is updated, accurate and displayed Performance charts No No yes
Temperature monitoring chart is complete, updated and displayed Temp chart Yes Yes Yes
Monthly performance review meetings conducted to discuss progress Minutes Book Yes Yes Yes
Total Requirement 27 27 27
Monthly Performance Total Yes
% Yes
18
67%
22
81%
25
93%
Aver
Score level: Good (>90%), Average (80%-90%); Poor (<50% - 80%); Very Poor (<50% Score level Poor
age
Good
MPANGO WA KUWAFIKIA WALENGWA WA HUDUMA ZA CHANJO
UFUATILIAJI WA UFANISI WA HUDUMA ZA CHANJO KATIKA KITUO (UHAKIKI BINAFSI WA KITUO)
HALMASHAURI:_____________________________ JINA LA KITUO:__________________________ MWAKA:__________
Kipengele cha Andika ND (NDIYO) au HP (HAPANA)
Na Eneo la uhakiki Chanzo cha taarifa ya uhakiki
REC Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec
Chanjo zote, syringes na maji ya kuchanganyia vilikuwepo wakati wote Leja ya chanjo
Kituo kililpokea chanjo, syringes na maji ya kuchnaganyia angalau mara moja Leja ya chanjo
Jokofu lilikuwa linafanya kazi wakati wote katika mwezi Kumbukumbu ya jokofu
Mipango na
Jokofu la kituo lilikuwa na kifaa cha kufuatilia jotoridi wakati wote Fridge Tag/RTM
usimamizi wa
Jotoridi la jokofu katika mwezi halikuwa na alama ya hatari (no alarm) FrideTag/RTM
1 rasilimali za
Chanjo zote ziko katika hatua ya matumizi (hazijaisha muda wake, VVM stage ni 1 au 2,
huduma za Angalia chanjo kwenye jokofu
hazijawa diluted na hazijaganda
chanjo
Mpango wa kuwafikia walengwa wa chanjo upo na umehuishwa (REC micro-plan updated)
REC Microplan
ukianisha pia walengwa wa kila mtaa/kijiji
Fedha za kuendeshea huduma za chanjo zilikuwepo Taarifa ya fedha
Ratiba ya huduma za chanjo kituoni na huduma za mkoba upo na umehuishwa Taarifa ya chanjo
Huduma za chanjo kituoni zilitolewa kwa >95% (Planned/Conducted)*100 >=95% Taarifa ya chanjo
Huduma za mkoba jumuishi zilifanyika kwa > 95% (Planned/Conducted)*100 >=95%) Taarifa ya chanjo
Utoaji wa
Kiwango cha uchanjaji hadi sasa kimefikia zaidi ya 95% kwa chanjo ya Penta1 Taarifa ya utendaji
huduma za
2 Kiwango cha uchanjaji hadi sasa kimefikia zaidi ya 95% kwa chanjo ya MR2 Taarifa ya utendaji
chanjo kwa
Kiwango cha kuasi chanjo (Drop-out rate) kati ya Penta1 na MR1 ni chini ya 5% Taarifa ya utendaji
walengwa
Kiwango cha kuasi chanjo (Drop-out rate) kati ya MR1 na MR2 ni chini ya 5% Taarifa ya utendaji
Utambuzi, ufuatiliaji na uchanjaji wa watoto ambao hawajapata au kukamilisha chanjo
Orodha na taarifa ya uchanjaji
ulifanyika
Mtoa huduma wa kituo alihudhuria kwenye vikao vya jamii ikiwemo vikao vya kamati za
Kitabu cha vikao
Ushirikishwaji maendeleo ya Mtaa/Kijiji/Kata na Taarifa ya kilichojadiliwa ipo
3
wa Jamii Kamati ya uendeshaji wa kituo (HFGC) ilijadili masuala ya huduma za chanjo na taarifa ya
Kitabu cha vikao
kilichojadiliwa ipo
Usimamizi Kituo kilipata usimamizi shirikishi wa huduma za chanjo kutoka ngazi ya wilaya Kitabu cha usimamizi
4 shirikishi na Kituo kilipewa mrejesho wa maandishi kufuatia usimamizi shirikishi uliofanyika Kitabu cha usimamizi
ufundishwaji Mapendekezo ya maboresho yaliyoainishwa wakati wa usimamizi shirikishi yamefanyiwa kazi Hakiki utekelezaji
Kitabu cha kusajili watoto (MTUHA Na.7) unatumika na taarifa zake kuhuishwa MTUHA na. 7
Muoanisho wa hdumza za chanjo upo na umehuishwa hadi sasa Muoanisho wa chanjo
Ufuatiliaji na Leja ya chanjo ipo na imehuishwa na kujazwa kwa usahihi hadi sasa Leja ya chanjo
5 matumizi ya Taarifa ya mwezi ya chanjo ipo na imehuishwa hadi sasa Kitabu cha taarifa
takwimu Taarifa za utendaji zimejazwa na kuhuishwa hadi sasa Taarifa ya utendaji
Taarifa ya kumbukumbu ya jokofu imejazwa kwa ukamilifu na imehuishwa Kumbukumbu ya jokofu
Kikao cha mapitio ya takwimu za huduma zilizotolewa kimefanyika Taarifa za vikao
Kiwango Jumla ya alama zilizohakikiwa
Jumla ya alama zenye NDIYO
cha Ufanisi % Ndiyo
Ufanisi: A-Nzuri (>90%), B-Wastani (80%-90%); C-Mbaya (50%-80%); D-Mbaya sana (<50%) Kiwango cha ufanisi