[go: up one dir, main page]

Nenda kwa yaliyomo

Katerina Tomas

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Katerina katika kanisa la kijiji chake cha kuzaliwa[1][2].

Katerina Tomas (jina kamili kwa Kikatalunya: Catalina Tomàs i Gallard[3][4]; Walldemossa, Mallorca, Visiwa vya Baleari, Hispania, 1533 - Palma de Mallorca, 5 Aprili 1574) alikuwa mmonaki wa Wakanoni wa Mt. Augustino, maarufu kwa sala na karama zake[5].

Aling'aa kwa kujikana na kujinyima matakwa yake.

Papa Pius VI alimtangaza mwenye heri tarehe 12 Agosti 1792, halafu Papa Pius XI alimtangaza mtakatifu tarehe 22 Juni 1930[3][4].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 5 Aprili[6].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Santa Catalina Shrine (Valldemossa)". Mallorcamaps. Iliwekwa mnamo 14 Desemba 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Valldemossa, Mallorca". SeeMallorca. Iliwekwa mnamo 14 Desemba 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. 3.0 3.1 "Saint Catherine of Palma". CatholicSaints.Info. Iliwekwa mnamo 13 Desemba 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. 4.0 4.1 Dunbar, Agnes B.C. (1904). "B. Catherine (15) Tomas". A Dictionary of Saintly Women. George Bell and sons. uk. 163.
  5. http://www.santiebeati.it/dettaglio/92317
  6. Martyrologium Romanum
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.