Kisama
Mandhari
Kisama ni lugha ya Kibantu nchini Angola inayozungumzwa na Wasama. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kisama imehesabiwa kuwa watu 24,200. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kisama iko katika kundi la H20.
Viungo vya nje
- lugha ya Kisama kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kisama
- lugha ya Kisama katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/smd
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kisama kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |