[go: up one dir, main page]

Zlatibor ni mlima wa Balkani (Ulaya), katika nchi ya Serbia.

Mlima Zlatibor

Urefu wake ni mita 1,496 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Zlatibor kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.