Tomas Lindahl
Tomas Lindahl (amezaliwa 28 Januari, 1938) ni mwanakemia kutoka nchi ya Uswidi na Uingereza. Hasa alichunguza jinsi ya kutibu saratani. Mwaka wa 2015, pamoja na Paul Modrich na Aziz Sancar, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Tomas Lindahl kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |