Mto Simiyu
(Elekezwa kutoka Simiyu)
Mto Simiyu ni mto wa Tanzania kaskazini ambao maji yake yanaingia katika ziwa Viktoria na hatimaye yanaelekea Bahari ya Kati kupitia mto wa Naili. Mdomo wake uko karibu na Magu Mjini. Tawimto muhimu ni mto Duma.
Chanzo | katika mbuga wa Serengeti |
Urefu | 1680 |
Kimo cha chanzo | 1135 m |
Tawimito upande wa kulia | Duma |
Mkondo | 0- 208 |
Eneo la beseni | 10800 km² |
Miji mikubwa kando lake | Magu Mjini |
Mkoa ambapo unapitia unapata jina kutoka kwake: Mkoa wa Simiyu.
Hidrometria
haririKiasi cha maji yanayopita katika mto huu unabadilika kimajira kutegemeana na kiasi cha mvua. Vipimo viko kama m³ / s (1999–2004).
Tazama pia
haririTanbihi
haririViungo vya nje
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mto Simiyu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |