[go: up one dir, main page]

Sarayevo

(Elekezwa kutoka Sarajevo)

Sarayevo (Kikroatia: Sarajevo; kikirili: Сарајево; Kituruki: Saraybosna) ni mji mkuu wa Bosnia na Herzegovina . Mwaka 2003 ilikuwa na wakazi lakhi tatu.

Mji wa Sarayevo
Ramani ya Sarayevo

Mji uko kando la mto Miljacka kwenye bonde la milima ya Dinari. Sarayevo ina sifa ya ushirikiano mwena wa watu wa dini na madhehebu mbalimbali ndani yake kwa karne nyingi. Kuna misikiti ya Kiislamu, makanisa ya katoliki na Kiorthodoksi pamoja na sinagogi.

Lakini mwisho wa karne ya 20 Bosnia iliingia katika vita iliyosababishawa na kuporomoka kwa Yugoslavia na swali la mipaka ya Serbia.

Sehemu za Sarayevo ziliharibiwa na kujengwa upya.

Bosnia ilikuwa mahali ambako mauaji ya mfalme mteule wa Austria-Hungaria tarehe 28 Juni 1914 yalisababisa Vita Kuu ya Kwnaza ya Dunia.

Michezo ya Olympiki ya 1984 ilifanywa Sarayevo.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Sarayevo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.