Mohamed Amin
Mohamed "Mo" Amin (29 Agosti, 1943 - 23 Novemba, 1996) alikuwa mpiga picha maarufu kutoka Kenya.
Mohamed Amin | |
---|---|
Amezaliwa | Agosti 29, 1943 |
Amekufa | 23 Novemba 1996 (umri 53) Komori |
Utaifa | Mkenya |
Kazi yake | Mpiga picha na mwandishi wa habari |
Alijulikana kwa kazi zake kuripoti uhaba wa chakula nchini Ethiopia miaka ya 1983–85.[1]
Tanbihi
hariri- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-02-20. Iliwekwa mnamo 2014-09-30.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mohamed Amin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |