[go: up one dir, main page]

Bitlis ni mkoa uliopo mjini mashariki mwa nchi ya Uturuki. Upo kwenye eneo la magharibi mwa Ziwa Van. Idadi kubwa ya wakazi ni kundi la Wakurdi wanaoishi mkoa hapa.[1] Mji mkuu wake ni Bitlis.

Mkoa wa Bitlis
Maeneo ya Mkoa wa Bitlis nchini Uturuki
Maelezo
Kanda: Kanda ya Anatolia ya Mashariki
Eneo: 6707 (km²)
Idadi ya Wakazi 413,446 TUIK 2007 (est)
Kodi ya Leseni: 13
Kodi ya eneo: 0434
Tovuti ya Gavana http://www.bitlis.gov.tr
Utabiri wa hali ya hewa turkeyforecast.com/weather/bitlis
Mkoa wa Bitlis

Wilaya za mkoani hapa

hariri

Mkoa wa Bitlis umegawanyika katika wilaya 7 (mji mkuu umekoozeshwa):

Marejeo

hariri

Viungo vya Nje

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Bitlis kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.