[go: up one dir, main page]

Leonsi wa Tarabulus

Leonsi wa Tarabulus (alifariki Tarabulus, Foinike, katika Lebanoni ya leo, karne ya 4) alikuwa askari Mkristo aliyeuawa baada ya mateso ya kikatili kutokana na imani yake wakati wa dhuluma ya Dola la Roma.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini[1]. Ndiye maarufu zaidi kati ya wafiadini wa Foinike.

Habari zake ziliongezewa hadithi na kumpatia wenzake wawili, Ipasi na Theoduli.

Sikukuu yake ni tarehe 18 Juni[2].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.