Kwanta
Kwanta katika fizikia ni kiwango cha chini kabisa cha kipimo chochote cha kiumbo inayohusika katika maingiliano.
Nadharia inayoelezea kwanta katika fizikia inaitwa nadharia ya kwanta na inazungumza kwamba vipimo vyovyote vya kiumbo vyaweza kupimwa hadi kiwango cha chini kabisa cha kwanta, mfano kiwango cha chini kabisa cha mwanga ni ukubwa wa fotoni, na kiwango cha chini kabisa cha chaji ni chaji ya elektroni.
Makala hii kuhusu mambo ya fizikia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kwanta kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |