[go: up one dir, main page]

Kisiwa cha Banda (Uganda)

Kisiwa cha Banda (Uganda) ni kati ya visiwa vya Uganda kusini (Mkoa wa Kati, Wilaya ya Kalangala).

Kinapatikana katika ziwa Nyanza, la pili duniani kwa ukubwa.

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Viungo vya nje

hariri