[go: up one dir, main page]

Azufral ni mlima wa Andes katika nchi ya Kolombia (Amerika Kusini).

Sehemu ya kuingilia.

Urefu wake ni mita 4,070 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia

hariri