Alan MacDiarmid
'
Alan MacDiarmid | |
---|---|
Alan MacDiarmid | |
Amezaliwa | 14 Aprili 1927 |
Amefariki | 7 Februari 2007 |
Kazi yake | mwanakemia kutoka nchi ya New Zealand |
Alan Graham MacDiarmid (14 Aprili 1927 – 7 Februari 2007) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya New Zealand. Hasa alichunguza sifa za polimeri. Mwaka wa 2000, pamoja na Alan Heeger na Hideki Shirakawa alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.
Alan MacDiarmid alifundisha katika vyuo vikuu mbalimbali duniani na alikuwa na mchango mkubwa katika kuleta uelewa wa kemia ya polima na umuhimu wake katika teknolojia ya kisasa. Alifariki dunia akiwa na umri wa miaka 79. Mchango wake katika kaziyake.
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Alan MacDiarmid kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |